← Rudi
Q-Zat Shop
Cart 0
Q-Zat Luxury Bed Set 5×6
Download
thumb 1
thumb 2

Q-Zat Luxury Bed Set 5×6

Aina: — Stoo: Inapatikana
TZS 950,000
SKU: —
Weka Lengo
Wateja wetu wapendwa, sasa tumewaletea seti kamili ya kitanda cha kisasa, godoro la hali ya juu na mashuka ya kifahari – kwa ajili ya wale wanaopenda kulala kwa amani na hadhi.

Seti hii inajumuisha:
✅ Kitanda cha King Size chenye headboard ya kuvutia na finishing ya kisasa
✅ Godoro la orthopedic lenye msaada bora kwa afya ya mgongo
✅ Seti ya mashuka laini na ya kudumu (shuka + foronya)

Sifa Kuu:
✔ Fremu ya mbao imara yenye muonekano wa kifahari
✔ Godoro la ubora linalofaa kwa watu wa rika zote
✔ Mashuka rahisi kufua, salama kwa ngozi, na yanayoongeza mvuto wa chumba
✔ Inafaa kwa nyumbani, hoteli, au zawadi ya ndoa

📦 Unachopata: Kitanda + Godoro + Mashuka
📏 Ukubwa: King Size (watu wawili)

💬 Lala kama mfalme au malkia – kwa starehe, ubora na heshima chumbani kwako.

📲 Weka oda sasa au weka lengo uanze kutunza (kulipia kidogo kidogo, ukifikisha 75% tunakupa 25% tunamalizia kulipa ukiwa na bidhaa yako) – tunasafirisha mikoa yote ya Tanzania!
📍 Limited stock available
Aina
Bei
TZS 950,000
SKU
Brand
Imehifadhiwa